Jumanne , 10th Mei , 2022

Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky amemtunukia tuzo ya heshima ya Rais mbwa aliyepewa jina la Pattern kwa huduma zake tangu uvamivi wa Urusi.

Mbwa huyo alibaini marundo zaidi ya 200 ya nyaya zinazohusishwa na vipulizi, na mwezi April alitajwa kugundua mabomu zaidi ya 90.

"Ninataka kuwatunuku mashujaa hawa wa Kiukreni ambao tayari wanasafisha ardhi yetu." alisema Rais huyo

Amesema  mbwa huyo sio tu anasaidia kubaini vilipuzi, lakini pia hufundisha watoto  kanuni muhimu za usalama katika maeneo ambayo kuna hatari.
Sherehe ya tuzo hiyo pia ilihudhuriwa pia na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau

Rais Zelensky alikabidhi medali kwa mbwa huyo na mmiliki wake My Hello Ilyo. Mbwa huyo mdogo kiumbo amekuwa maarfu nchini chini ya kitengo cha usalama tangu uvamizi wa Urusi,