Magunia ya Mchele yakiteketezwa
Mkuu wa Kitengo cha Bandari Zanzibar kutoka ZFDA Mohd Shaadhil Shauri ameeleza.
Tazama Video hapo chini
#VIDEO Jumla ya tani 27 za Mchele aina ya Alfaiz zimeteketezwa na Wakala wa Bodi ya Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar baada ya kuharibika kwa maji wakati wa usafirishaji kutoka nchini Pakistani. Mkuu wa Kitengo cha Bandari Zanzibar kutoka ZFDA Mohd Shaadhil Shauri ameeleza. pic.twitter.com/8J6gBa0Qif
— EastAfricaRadio (@earadiofm) February 27, 2022


