
Jengo la Shirika la Umeme nchini (TANESCO)
Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO Maharage Chande, kufuatia taarifa yake ameeleza kuwa ratiba ya mgao huo itatolewa kuruhusu Watanzania na taasisi kupanga ratiba zao na kwamba maboresho katika mtambo wa kufua umeme wa Kinyerezi I na Ubungo III yataongeza uzalishaji kutoka megawati 150 hadi megawati 335.