Jumapili , 5th Dec , 2021

Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara ameeleza jinsi alivyoanza kupanda Mlima Kilimanjaro tangu mwaka 2008 akiwa madarakani na hajaacha mpaka leo Desemba 5, 2021 licha ya kuwa mstaafu. 

Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara (kulia) akifanya mahojiano na Mwandishi wa East Africa TV Dotto Kadoshi.

Pia ameeleza kuwa leo msafara wa watu 140 utaanza kupanda Mlima Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru.

Tazama Video hapo chini