Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mkuu wa wilaya Ilala aukataa mradi wa maji

Jumatatu , 13th Aug , 2018

Mkuu wa wilaya Ilala, Sophia Mjema amegoma kupokea mradi wa maji katika kata ya Kitunda kwasababu ya kutoridhishwa na mradi wa ujenzi huo.

Mkuu wa wilaya Ilala, Sophia Mjema (aliyejifunga kiremba) akiongozana na wananchi

Mjema amezungumza hayo leo Agosti 13, 2018 katika ziara ya kutatua kero za wananchi katika kata zote za Ilala, na kusema hajaona alichokuwa anategemea kukipata katika mradi huo ambao serikali imetoa jumla ya millioni 50 lakini mradi haufanani na pesa iliyotolewa.

Aidha, Mjema amesema hataki kuona watu wanatumia pesa ya miradi ya wananchi kwa ajili ya manufaa yao, na kama wapo wanaofanya hivyo basi watambue kuwa wamefeli.

"Kuanzia leo naomba huo mradi ubadilishwe ili uwe na thamani ya milioni 50 na nitakaporudi tena nataka nikute uzio katika mradi, ngazi ya kupanda juu kwa ajili ya kusafisha tenki, walinzi wawepo kwa ajili ya ulinzi pia maji yawekewe dawa", amesema Mjema.

Kwa upande mwingine, Mjema amewataka wanawake, vijana na walemavu kuchangamkia fursa ya mikopo kwa ajili ya kujikwamua kimaisha na kuepusha wimbi la watu wasio na kazi mtaani.

 

 

 

 

 

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita