Jumapili , 13th Feb , 2022

Msikiti wa Masjid Shafi uliopo mtaa wa Arusha Ilala jijini Dar es Salaam unaungua moto usiku huu. Katika msikiti huo pia kuna shule ya Sekondari Ilala Islamic. 

Moto umeanzia kuwaka juu ghorofani.
Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi.