Jumapili , 29th Mar , 2026

Jeneza lenya mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Marehemu William Lukuvi (Mb), umewasili mkoani Iringa kwa ajili ya shughuli ya kuagwa inayotarajiwa kufanyika kesho Machi 30, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwaongoza waombolezaji katika maziko ya Mhe. Lukuvi, Jumanne Machi 31, 2026 katika Kijiji cha Idodi, Iringa Vijijini.

Lukuvi alifariki dunia Machi 25, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu.