Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Andros Mendesi ambaye ndiye mmiliki wa eneo hilo kwa ajili ya uchunguzi zaidi na utakapokamilika atafikishwa mahakamani
Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 7, 2022, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro, amesema marehemu alikuwa akifanya kazi kwa Andros Nicodemus Mendesi ambaye kabla ya tukio hilo alifika eneo analofanyia kazi marehemu na kupiga risasi akidai kwamba alikuta wezi kwenye eneo lake.