Jumamosi , 2nd Oct , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amehoji sababu ya vijana wengi kupotoka na kukosa maadili licha ya uwepo wa vyama na taasisi nyingi zinazolea na kusimamia maadili ya vijana nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Kauli hiyo ameitoa hii leo Oktoba 2, 2021, aliposhiriki maadhimisho ya siku ya mlezi wa Skauti Tanzania, ambayo kwa mara ya mwisho ilifanyika mnamo mwaka 1995.

Tazama video hapa chini