Ijumaa , 13th Nov , 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli anatarajia kulihutubia Bunge la 12 kuashiria kuanza rasmi kwa shughuli za bunge.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli

Rais Magufulia ameshawasili bungeni Dodoma kwa ajili ya kulihutubia bunge hilo huku akipokolewa na Spika wa Bunge, Job Ndugai, pamoja na viongozi wengi waliofika ,

Rais Magufuli anatarajia kulihutubia bunge leo 13/11/2020 ambapo tayari baadhi ya viongozi , viongozi wastaafu , makatibu na wabunge wa bunge la 12 pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu,  wameshafika bunge hapa kwa ajili ya kuanza rasmi kwa shughuli hizo za bunge