Jumatatu , 1st Nov , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa Sctoland ameongea na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya Biashara kati ya Tanzania na Uingereza Mhe. Lord Walney.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya Biashara kati ya Tanzania na Uingereza Mhe. Lord Walney.

Rais Samia ameongea na Walney jana Oktoba 31, 2021 baada ya kuwasili Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa.

Rais Samia Suluhu na Mhe. Lord Walney, Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha Rose Migiro.
 

Ikumbukwe kuwa kesho Novemba 2, 2021 Rais Samia atahudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa ambao utajadili athari za mabadiliko ya tabianchi (COP 26).

Soma taarifa kamili hapo chini