Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Serikali yateua Dodoma

Jumatano , 6th Dec , 2017

Serikali imeuteua mkoa wa Dodoma kuwa mwenyeji wa sherehe za maadhimisho ya kutimiza miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania bara yatakayofanyika Desemba 9, katika uwanja wa Jamhuri.

Mgeni rasmi katika sherehe hizo za maadhimisho anatarajiwa kuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli.

Uongozi wa mkoa wa Dodoama ukiongozwa na Mkuu wa Mkoa umeunda kamati ya maandalizi kwa ajili ya sherehe hizo, na maandalizi muhimu tayari yamekamilika.

Akiongea na waandishi wa habari, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Bilinith Mahenge, ametaja kuwa maonesho hayo yatapambwa na  gwaride la heshima lililoandaliwa na vikosi vya ulinzi na usalama nchini, onesho la vikosi vya Komandoo, kwata ya kimyakimya na gwaride la mkoloni kutoka Jeshi la Polisi .

Kufanyika kwa gwaride la mkoloni katika maadhimisho hayo ya uhuru, itakuwa ni mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake.

Kauli mbiu mwaka huu ni 'Uhuru wetu ni tunu, tuudumishe, tulinde rasilimali zetu, tuwe wazalendo, tukemee rushwa na uzembe'.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea