Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

TABOA wataka kujibiwa ombi lao kuhusu tiketi

Jumatatu , 24th Aug , 2020

Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano imeombwa Kupitia upya maombi ya Chama Cha Wamiliki wa vyombo vya Usafiri (TABOA) kuhusu matumizi ya tiketi kwa njia ya kimtandao.

Kufuatia agizo la Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA kuwataka wamiliki wa vyombo vya usafiri kuanza kutoa huduma ya tiketi kwa njia ya kimtandao suala Hilo limeonesha kuleta mkanganyiko mkubwa kwa wamiliki wa vyombo Hali ambayo imetufanya EATV kuwatafuta Chama Cha Wamiliki wa vyombo vya usafiri kujua Nini hasa kinacholeta utata Hadi kuiomba  Wizara yenye dhamana kuingilia mchakato huo ili kuweka mizania sawa na kuondoa sintofahamu hiyo.

"Ni vyema Sasa waziri mwenye Dhamana ya uchukuzi akaingilia Kati ili Mfumo huu utazamwe upya ili kuangalia mrundikano wa tozo zitakazotokana na Mfumo huu kuliko kupelekewa Taarifa na watendaji kutoka kwenye hizi Mamlaka pekee "Mustafa Mwalongo Mkurugenzi wa Habari TABOA.

Amesema Teknolojia ni jambo zuri lakini wamiliki wengi wa vyombo hawana Elimu hiyo hivyo ni vyema elimu ingewekezwa zaidi ili kuondoa maswali mengi ambayo watu wekuwa wakijiuliza kuhusu mrundikano wa tozo uliopo kwa washiriki wa Mfumo huo.

"Huu Mfumo bado unashida kubwa unajua wamiliki wengi wa mabus hizi za Kimtandao Elimu hawana hivyo ni vyema LATRA ikajikita kutoa elimu kwa wamiliki kuliko kuendelea kuvutana" alisema   Mustafa Mwalongo Mkurugenzi wa Habari TABOA.

Mfumo huo wa tiketi kwa njia ya kimtandao ulipashwa kuanza kufanya kazi tangu Tarehe moja mwezi August 2020.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja