Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

TMA yataoa tahadhari juu ya msimu wa mvua

Jumatano , 21st Oct , 2020

Mamlaka ya hali ya hewa nchini,(TMA), imetoa muelekeo wa mvua za msimu za mwezi Novemba 2020 hadi April mwaka 2021 ambapo imeeleza uwepo wa mvua za wastani katika nyanda za magharibi Na mvua za wastani hadi wa chini kwa upande wa magharibi.

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk.Agness Kijazi

Akitoa maelezo katika mkutano na waandishi wa habari leo, kuhusiana na utabiri huo Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk.Agness Kijazi, amesema kuwa mvua hizo zinatarajiwa kuanza mwezi wa Novemba na kuisha katika mwezi wa nne huku muda wa kuanza mvua hizo unatofautiana kulingana na maeneo husika.

Akizungumzia juu ya athari  zitakazo tokana mvua hizi za misimu kwa upande wa kilimo amesema  unyevunyevu wa udongo na upatakinaji wa maji kwa ajili ya kilimo itakuwa yakuridhisha katika maeneo mengi hivyo amewataka wakulima kuzitumia mvua kwa ajili ya kufanya uzalishaji wenye tija.

Aidha Mamlaka hiyo imewatahadharisha  wakazi waliopo maeneo hatarishi  kuchukua tahadhari ilikuepukana na athari zinazoweza kujitokeza kufuatia mvua hizo za msimu.

"Vipindi vya mvua kubwa vinaweza kusababisha kutuama kwa maji na mafuriko na kupelekea uharibifu wa miundombinu na upotevu wa maisha na mali,mamlaka za miji na wadau wengine wanashauriwa kuboresha mifumo ya kupitisha maji taka na kuisimamia ili kupunguza athari zinazoweza sababisha mafuriko"

Aidha Mamlaka hiyo imetoa tahadhari kwa wavuvi na mamlaka za miji juu ya athari zinazoweza kujitokeza katika msimu wa mvua unaotarajiwa kuanza kuanzia mwezi Novemba 2020.

HABARI ZAIDI

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross