
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mnyika ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, ambapo moja ya majukumu yake makubwa ni kukiandaa chaa hicho kuelekea kushinda dola.
"Kazi yangu na kiongoza chana Makao Makuu kwenda kuchukua dola, na katika kutekeleza hili kwanza tuna vipaumbele vitano cha kwanza ni tume huru ya Uchaguzi,"
'Kazi nyingine ni maandalizi ya ilani kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2020' amesema Mnyika