Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ujenzi kituo cha Mbezi Luis wafikia asilimia 80

Alhamisi , 17th Sep , 2020

Ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Kimataifa cha Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 80 hii ikimaanisha bado kazi ndogo tu ya kumaliziwa kabla ya kuanza kutumika rasmi na kutoa fursa za ajira mbalimbali na biashara.

Ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Kimataifa cha Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam na muonekano kitakapokamilika

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge alipotembelea kukagua maendeleo ya mradi huo ambao una lengo la kuongeza ajira kwa vijana wengi huku akibainisha kuwa stendi hiyo imejengwa kutokana na ile ya Ubungo kuzidiwa uwezo hivyo imekuwa ndogo kulinganisha na mahitaji ya watu.

Akiwasilisha taarifa ya mradi kwa Mkuo wa Mkoa Kunenge, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Bi. Sipora Liana, alieleza ujenzi wa kituo kipya cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani ni mradi unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 50 za Tanzania fedha zilizotolewa na serikali kuu kwa ajili ya miradi huo wa kimkakati.

HABARI ZAIDI

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria