
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli
Aidha Rais Magufuli pia atawaapisha Dkt. Philip Isdor Mpango, kuwa Waziri wa Fedha na Mipango.
Pia Magufuli atamwapisha Prof. Palamagamba Kabudi Kuwa Waziri wa Mambo ya Nje.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ikulu leo, shughuli hiyo ya uapisho itaanza saa 4:00 asubuhi hii.