Mambo ya Nnje wa Urusi, Sergey Lavrov.
“Ukraine bado ina teknolojia ya nyuklia ya Soviet, Urusi Itapambana na hali ya hatari endapo watatumia silaha hizo” Sergey Lavrov.
Kauli hiyo ni muendelezo wa vitisho kwa NATO na mataifa ya magharibi, Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin alishatoa onyo kwa taifa lolote litakaloingilia mgogoro wa Urusi na Ukraine.





