
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula.
Jumla ya hatimiliki za kimila 100 zilitolewa kwa jamii hiyo, ikiwa ni hatua kubwa kwa jamii hiyo kwani kwa kiasi kikubwa wanajihusisha na uwindaji, utafutaji matunda, uchimbaji wa mizizi pamoja na urinaji wa asali na kusema hiyo ni dhamira yao nzuri wa kutaka kuyalinda maeneo yao.