Jumatano , 22nd Mei , 2019

Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, amewataka wamiliki wa 'Bar' na klabu za usiku, kuendelea kufuata kanuni na taratibu zilizowekwa ili kuepuka kuchukuliwa hatua kwa huduma zao kuakera wenngine.

Klabu ya usiku

Akiongea leo Mei 22, 2019 Bungeni, Jafo amesema sheria inawakataka kuendesha shughuli zao bila kuwakera watu wanaoishi jirani na sehemu za biashara zao.

''Wanapaswa kuzingatia maelekezo ya sheria ya vileo sura namba 28 mwaka 1968 katika uendeshaji wa shughuli zao na endapo watakiuka serikali haitasita kuwachukulia hatua'', amesema Jafo.

Zaidi tazama Video hapo chini.