Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wananchi wafikiwa na msaada wa sheria bure

Jumanne , 9th Apr , 2024

Mama Samia Legal Aid Campaign imelenga kutoa Msaada wa Kisheria bure kwa watu wote, bila kujali jinsia wala hali ya mtu.

Mpaka sasa huduma hii, imefika katika Mikoa 6, Halmashauri 42, Kata 452 na Vijiji/Mitaa 1,348, ambapo imewagusa moja kwa moja Wananchi 415,280 (Wanaume 214,888 wanawake 200,392) miongoni mwao Wafungwa na mahabusu wakiwa 7,166 (Wanaume 6,824 wanawake 342)

Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) inatoa msaada wa kisheria kwenye migogoro ya ardhi na kuwasaidia wananchi kuelewa vizuri sheria na taratibu zinazohusiana na ardhi.

 

Vilevile MSLAC inatoa msaada wa kisheria kwa wanaume/wanawake wanaonyanyaswa

 

na wenza wao, watoto waliokosa haki zao za msingi kutoka kwa wazazi, walezi au jamii inayowazunguka, walemavu ambao wanapitia unyanyasaji, ikiwa ni pamoja na huduma za ushauri nasaha na mafunzo juu ya sheria zinazo walinda.

Aidha MSLAC inatoa Msaada wa kisheria kwa wafungwa na miongozo ya haki za msingi zinazowahusu, inatoa msaada wa kisheria kwa watu walio katika hali ya kukata tamaa, wapweke, na wale ambao wanahisi kwamba sheria imepindishwa dhidi yao.

 
 

Pia MSLAC inatoa Msaada wa kisheria kwenye migogoro ya Ndoa, Mirathi, Utawala, Ukatili wa Kijinsia, Matunzo ya Watoto na kutoa elimu ya Masuala yote ya kisheria kwa jamii.

Ili kuhakikisha huduma hii inawafikia wananchi kwa urahisi zaidi, Mashirika 256 yamesajiliwa kwa ajili ya kutoa Msaada wa Kisheria kwa wananchi bila kuwatoza gharama.

 
 


Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aids, imekuwa msaada mkubwa kwa wanyonge ambao walidhulumia Haki zao.

Msaada wa Kisheria ni suala linalojumuisha haki na ulinzi wa kisheria kwa watu wote, bila kujali jinsia wala hali ya mtu. Kwa msaada na maelezo zaidi, tembelea kurasa za MSLAC; @mslegalaidcampaign na tovuti; www.sheria.go.tz

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala