Ijumaa , 22nd Oct , 2021

Wizara ya Katiba na Sheria imewatahadharisha baadhi ya watu ambao wanatupata fedha chini wakati wa kutoa zawadi kwenye sehemu zozote za tafrija, kwani kwa kufanya hivyo ni kosa kisheria na atakayekamatwa kwa kufanya kosa hilo atashtakiwa kwa kufanya kosa la jinai.

Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, wakati akiongea na wazazi, wanafunzi pamoja na walimu wa shule ya sekondari ya Kilimo Kilosa mkoani Morogoro ambayo ni elimu jumuishi,