Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Watu 45 wamevuta hewa yenye sumu Dar es salaam

Jumanne , 22nd Mei , 2018

Watu 45 wameathirika baada ya kuvuta hewa yenye sumu kutoka kiwanda cha kutengeneza sabuni cha ROYAL kilichopo Mabibo external Jijini Dar es Salaam.

Akitibitisha kutoka kwa tukio hilo, Mkuu wa wilaya ya Ubungo  Bw. Kisare  Makori amesema tatizo hilo limetokea baada ya kuwepo kwa hitilafu katika moja ya mtambo wa kuchuja tindikali lakini mpaka sasa, wamiliki wa kiwanda hicho wameshadhibiti na zoezi la uzalishaji linaendelea kama kawaida.

"Kuna watu watatu ambao walipata madhara zaidi yaani walikuwa wanatapika na kuumwa vichwa lakini wameshapatiwa matibabu na wengine 42 walienda katika kituo cha afya kupatiwa huduma kutokana na kuhisi kuathirika na hewa hiyo waliyoivuta wakati wakiwa kiwandani", amesema Makori.

Msikilize hapa chini Mkuu wa wilaya ya Ubungo  Bw. Kisare Makori akisimulia zaidi..

HABARI ZAIDI

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi