Vijana wawili John Solomon (25) na Sadick (33) waliohukumiwa kwenda jela miaka mitano
Hukumu hiyo imetolewa leo Desemba 7, 2022 na wawili hao ambao ni John Solomon (25) na Sadick (33) walishtakiwa kwa makosa manne, likiwemo la kuvunja nyumba, kuiba godoro, shuka, neti na kitanda, pamoja na kuiba mfugo aina ya Nguruwe na kupatikana na vitu vya wizi ikiwemo nyama ya nguruwe ya mwalimu huyo.