
Baadhi ya mabaki ya nguo zilizoungua
Kamanda Inanu, amesema kwamba mara baada ya mtoto kuwasha kiberiti, moto huo ulishika pazia na ndipo ulipoenea nyumba nzima, na kukemea uwepo wa maghala bubu ya kuhifadhia nguo za wafanyabiashara wengi na akisisitiza umakini wa wazazi kwa watoto.