Jumatatu , 23rd Aug , 2021

Baada ya kuripotiwa kuwa nyimbo za the late Albert Mangwair “Ngwair” zimefikisha jumla ya streams zaidi ya milioni 1 kwenye app ya Boomplay familia yake yafunguka kuhusu malipo.

Picha ya The Late Ngwair

Mama mzazi wa msanii huyo wa Hip Hop Bongo amesema kuwa kama familia hawajapokea malipo yoyote (mirabaha) kutoka kampuni za kusikiliza na kuuza kazi za wasanii mpaka sasa.

Msikilize hapa akieleza mwanzo mwisho wa sakata hilo