Picha ya Aki na Ukwa
Unaambiwa kwa sasa Osita Iheme (Aki) ana miaka 44 na Chinedu (Ukwa) ana miaka 48, kwa pamoja wameigiza zaidi ya Movies 15.
Kabla ya wanamuziki Davido, Wizkid, Burna Boy, Rema, Asake, Tems Baby, Ayra Starr na Tiwa Savage Aki na Ukwa walitamba sana Tanzania na Africa Mashariki kwa ujumla.
Ukiachilia mbali uwezo wao wa kuigiza sasa hivi wanafanya shughuli zingine za ujasiriamali na uwekezaji ndani ya Taifa lao la Nigeria.


