Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Ali Kiba akikataa, asije nikifa" - Haji Manara

Jumamosi , 7th Dec , 2019

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara, ametangaza kuwa endapo msanii wa BongoFleva Ali Kiba akishindwa kuimba kwenye harusi yake basi hata akifa asiende kumzika.

Haji Manara upande wa (kushoto) na msanii Alikiba upande wa (kulia).

Haji Manara alizungumza hayo kwenye hafla ya chakula cha usiku kati ya wasanii na waandishi wa habari iliyyofanyika katika moja ya hoteli iliyopoa Masaki jijini Dar Es Salaam.

Kupitia EATV & EA Radio Digital Haji Manara ameeleza mipango yake ya kuoa ifikapo mwaka 2020 na lazima msanii Ali Kiba aimbe, akikataa au asipokuja basi hata kwenye msiba wake asiende,

"Sina Mke kwa sasa labda mnitafutie, nitaoa mwakani sisemi ni lini maana mtaniroga, ila ndiyo itakuwa mara ya kwanza Ali Kiba na wasanii wengine wataimba kwenye jukwaa moja aidha watataka au hawataki" amesema Haji Manara 

Pia ameendelea kusema "Nataka wajue mimi ndiyo kaka yao, Ali Kiba na wasanii wengine wataimba wakati mimi nitakapooa, kama hawataki mimi na wao uhusiano basi,  kwa sababu wote ni wadogo zangu, wakikataa kuja au kuimba hata nikifa Leo wasije" 

Aidha amesema Ali Kiba ni mwanaye na ndugu yake tangu udogoni ambaye  amekuwa anamuona mikononi mwake.
 

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea