Jumatano , 29th Sep , 2021

King wa Bongo Fleva, Alikiba ameweka wazi rasmi jina la albamu yake mpya "Only One King" ambayo amepanga kuitoa Oktoba 7 mwaka huu. 

Picha ya Msanii Alikiba

Only One King itakuwa albamu yake ya tatu ya King Kiba na itakuwa na jumla ya nyimbo 16  na kolabo za kutosha za kimataifa toka kwa wasanii mbalimbali za Afrika