Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Amber Lulu atoa tahadhari kwa producer

Jumanne , 28th Mei , 2019

Baada ya Zest kusema kuwa hawezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii na wa muziki wa Bongo fleva Amber Lulu, Msanii huyo amesema anashangaa sana kumuona Zest akizungumza maneno kama hayo wakati yeye anamchukulia kama kaka yake.

Amber Lulu

Amber Lulu ameaiambia eNewz kuwa hawezi kuongea baya lolote kwa Zest kwa kuwa yeye anamchukulia kama ndugu ambao wametoka wote mkoa mmoja Mbeya, na ni mtu ambaye alichangia pia katika mafanikio aliyonayo katika fani yake ya muziki kwani alihusika sana kwenye wimbo wake wa Jini Kisirani.

"Kitu pekee ambacho nataka kumwambia Zest ni kwamba mimi bado namuheshimu kama kaka na siwezi kumtolea 'shit' kwa kuwa namuheshimu hivyo namuomba na yeye aniheshimu kwa maana hata mimi hawezi kuwa aina ya wanaume ninaowapenda na sijui kwanini kaongea alichoongea mimi sioni haja ya kumjibu namuacha aongee anachojisikia kuongea ili aridhishe nafsi yake". aliongea Amber Lulu.

Akimalizia Amber Lulu hakusita kutoa tahadhari kwa waandaaji wa wimbo wake wa sasa na kusema  kuwa anatoa wimbo mwingine mkubwa kushinda Jini Kisirani hivyo anawaomba wasije wakawa na roho za kukunja nyimbo hizo zitakapokuwa hit.

Zaidi mtazame hapo chini

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita