Jumanne , 21st Apr , 2015

Staa wa muziki Ben Pol, baada ya kuachia video ya ngoma yake inayokwenda kwa jina Sophia, akiwa amekwenda tofauti na ahadi mbalimbali alizokuwa amekwishazitoa awali kuhusiana na video hiyo, amezungumzia utofauti alioamua kutoka nao kupitia kazi hiyo.

msanii wa bongofleva nchini Ben Pol

Ben Pol ambaye ameamua kumtumia model mwenye albinisim katika kazi hiyo, tayari mapokezi ya kazi nzima yakiwa na msisimko wa aina yake, Ben Pol amekuwa na haya ya kusema kuhusiana na kile alichokifanya katika kazi hiyo.