Jumatano , 4th Nov , 2015

Star wa muziki Ben Pol ametoa ushauri kwa wasanii wenzake kujituma zaidi katika kufanya mazoezi ya viungo na vilevile sauti katika kuboresha maonesho wanayofanya na kuendana na matakwa ya mashabiki wao.

Staa wa Muziki Ben Pol

Kutokana na uzoefu ambao star huyo anao, mazoezi ya viungo vilevile sauti ni kati ya vitu vya muhimu kabisa ambavyo msanii hatakiwi kubweteka na kuacha kuvifanyia kazi kama anavyoeleza hapa.