Alhamisi , 21st Oct , 2021

Mama anaye trending katika mitandao ya kijamii kupitia video clip anayo sema neno “ukorofi”, Bi Asha kutokea Masasi, Mtwara anasema kwa yeyote anayetaka kutumia sauti yake au video zake mitandaoni itabidi amlipe Milioni 25.

Picha ya Bi Asha anayetrending mitandaoni

Bi Asha anasema video hiyo alirekodiwa bila kujua hivyo ni kosa kisheria ndio maana ameweka kiasi hicho cha pesa kwa anayetaka kutumia video yake.

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo.