Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

“Bongo Movies aliyebaki ni Gabo” Mama Kanumba

Jumapili , 22nd Jul , 2018

Mama Kanumba ‘Flora Mtegoa’ amefunguka kuwa kwenye Bongo movies muigizaji anayevaa uhusika vizuri kwa kila Filamu ni Gabo.

Kushoto muigizaji wa filamu Bongo Gabo Zigamba na kulia mama Kanumba

Akizungumza na www.eatv.tv mama huyo amesema kila filamu ya Gabo anapoiangalia anaona uhalisia kitu ambacho ni tofauti na waigizaji wengine ambao wanaonekana hawana uhalisia na wanachokifanya.

Mama Kanumba amesema wasanii wote waigizaji wakiwa makini watafika mbali pia watatoka katika giza la kulalamika kuwa filamu hazilipi na kuongeza kwamba kama ingekuwa hazilipi kweli, Gabo angekuwa haendelei kufanya kazi nzuri, ila waigizaji wengi wanajiona wakubwa na kubweteka.

“Msanii ili uwe mkubwa cha kuzingatia inabidi kuwa na heshima kwa watu na kutafuta utofauti ulipo kati yako na wengine, pia kujua vikwazo vinavyokwamisha biashara yako kufikia malengo yako, ukijua hayo basi itakuwa rahisi kwa bidhaa kununuliwa na watumiaji uliowalenga”, amesema Mama Kanumba.

Ameongeza kwa kusema wasanii waache kujiona kuwa wamefika kisa wamepata majina na kwamba kila siku wanapaswa wajione wapya na hiyo itawasaidia kufikisha sanaa yao mbali na kutangaza nchi kupitia sanaa yao.

HABARI ZAIDI

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria