
Mshambuliaji wa Azam FC, Rodgers Kola, akishangilia bao la utangulizi dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 kwenye dimba la Chamanzi Complex siku ya Jumatano.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina

Maye Musk katika jarida la 'Sports Illustrated Swimsuit'

Picha ya Alikiba na Trainer wake Denzel

Picha ya Ibraah, Baby mama wake na mtoto wao

Picha ya Rajabu Zomboko

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akizungumza wakati wa mkutano na Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa ujumbe huo Bw. Bw. Gerard Wolf.