
Picha ya Msanii Darassa
Tukio hilo limeshuhudiwa na mtayarishaji wa muziki Abbah Process, Marioo na watu wake wengine wa karibu huku ikielezwa kuwa kumvisha pete hiyo mzazi mwenza huyo ni kiashiria cha kuelekea tukio la ndoa ya wawili hao siku za hivi karibuni.