Jumapili , 7th Nov , 2021

Msanii wa BongoFlava Foby anasema aliwahi kwenda kwa Mganga baada ya mtu kumuambia  jina lake limefukiwa chini na kurogwa kwa sababu muziki wake ni mkubwa lakini watu hawamjui. 

Picha ya msanii Foby

Foby ameongeza kusema licha ya kwenda kwa Mganga lakini bado haamini katika upande huo akaamua kuachana navyo.

Zaidi tazama hapa kwenye video.