Picha ya Gigy Money na mpenzi wake Tariq
Akipiga story kupitia EATV Digital, Gigy Money anasema
“Kabla ya Ramadhan au ndani ya Ramadhan nitakuwa mke wa mtu, nimebadili mpaka dini nimeslimu kabisa! Jina la kiislam naitwa Rouhya”.
Una comment gani kuhusu uamuzi huu wa Gigy Money?




