Jumatano , 22nd Jun , 2022

Mama Mayra Gigy Money ameweka wazi kutumia Tsh Milioni 32 kwenye usiku mmoja akisherehekea 'Birthday Party' yake akitimiza miaka 25.

Picha ya msanii Gigy Money

Gigy Money anasema aligharamia kila kitu kwenye usiku huo kuanzia vyakula, vinywaji na ukumbi na aliaka mastaa kadhaa kama Wema Sepetu, Mimi Mars, Lulu Diva, Amber Lulu na Baba Levo.

Interview nzima akizungmzia hilo bonyeza hapa kutazama.