Jumatano , 2nd Mar , 2022

Ni headlines za CEO wa lebo ya Next Level Music Rayvanny, ambaye ameshea video clip akiwa na Hitmaker wa 'Bia tamu' Marioo wakiwa studio na producer S2Kizzy.

Picha ya Rayvanny kushoto, kulia ni Marioo

Tukio hilo limefanyika kwenye studio ya Rayvanny 'Next Level Music'. Kama wewe ni shabiki wa Rayvanny na Marioo tegemea kukutana na ngoma yao mpya siku sijazo kwa mara ya kwanza.

Itazame hapa video hiyo ikiwaonesha kama bado hujaiona.