Alhamisi , 6th Oct , 2022

CEO wa Kondegang Harmonize ameshea story ya kumtoa machozi msanii wa HipHop Mr Blue baada ya kukutana studio kurekodi ngoma ya Unanimaliza inayopatikana kwenye Album ya Afro East ya Harmonize.

Picha ya msanii Harmonize

Zaidi tazama hapa chini kwenye video Harmonize akizungumzia chanzo cha kumtoa machozi Mr Blue.