Alhamisi , 2nd Dec , 2021

Kondeboy Harmonize ametangaza anatamani kufanya kazi na MB Dogg hit maker wa ngoma kama “Latifa” na “Mapenzi Kitu Gani” 

Msanii Harmonize na MB Dogg

Harmonize kupitia ukurasa wake wa instagram akiwa anasikiliza wimbo wa MB Dogg “Mapenzi Kitu Gani” pamoja na mpenzi wake Briana ameandika 

“Someone tell my brother MB Dogg how Briana is going crazy with it, let’s go for remix”

Harmonize aliendelea na mwishoni amemuomba mtayarishaji wa muziki P Funk Majani aliyehusika katika utengenezaji wa ngoma hiyo kwamba yupo tayari kwa ajili ya kufanya remix ya wimbo huo.