Alhamisi , 7th Apr , 2022

Kwa mara ya kwanza Photographer wa msanii Harmonize Jabulant Rambo anasema anamshukuru Harmonize kwa kumfanyia surprise ya kumnunulia gari mpya yenye thamani ya Tsh Milioni 16.

Picha ya msanii mpiga picha wa Harmonize Jabulant na gari yake

Jabulant anasema ana Christmas 5 mjini akiwa na Harmonize lakini gari amepewa mwaka huu kutokana na uvumilivu wake na juhudi zake kwenye kazi.

Interview nzima bonyeza hapa kutazama.