Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Jibu la Q Chief kum-diss Mwana Fa kuhusu Corona

Jumamosi , 28th Mar , 2020

Baada ya kuzungumziwa sana kwenye mitandao ya kijamii wiki iliyopita kuhusiana na kumsema Mwana Fa, msanii Q Chief ameeleza kuwa neno lake ni dawa ndiyo maana bado ana umuhimu hadi leo watu wanamzungumzia kuhusu video ile.

Kushoto ni Q Chief, kulia Mwana Fa

Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, Q Chief ameonekana kwenye video fupi akimsema Mwana Fa kwamba ametafuta kiki na amefanya kitendo cha kitoto kwa kujitangaza kama amepata virusi vya ugonjwa wa Corona jambo ambalo lilimfanya kumuongelea vibaya.

Akizungumzia kuhusu kutrend kwa video hiyo mitandaoni na kumsema Mwana Fa amesema,

"Kila mtu na dunia nzima inamjua Q Chief sio lazima ufe ndiyo watu ndiyo wakusifie na kauli yangu ni kama dawa, mimi sio mtu wakushinda mitandaoni kila muda,  video ile kutembea kiasi hicho inamaanisha bado nina umuhimu  kwa watu na wanaamini kile ninachokisema".

Pia ameongeza kusema  "Kuna muda haitakiwi watu wote wa kuamini au kuwa na imani na wewe, lakini unaweza ukatoa mawazo ambayo itawanyima watu wengine raha au usingizi"

HABARI ZAIDI

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria