Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Joh Makini aeleza anavyoiona mitandao ya kijamii

Jumanne , 22nd Oct , 2019

Mkali wa HipHop nchini Tanzania Joh Makini, amepiga stori na EATV & EA Radio Digital, ambapo amefunguka kushindanishwa na baadhi ya wasanii wengine kwenye muziki na anavyoiona mitandao ya kijami kwenye maisha ya sasa.

Kuhusu kushindanishwa, kufananishwa na kuletewa tofauti na baadhi ya wasanii wa HipHop Bongo, Joh Makini, ameeleza kuwa hali hiyo haijamuathiri kitu chochote na hakuja kwenye muziki ili kushindana na mtu.

"Mimi nachukulia vitu vya kawaida kwenye kitu chochote chenye ushindani, watu wamekuwa na mawazo tofauti tofauti, nilichokuwa nafanya ni kuzingatia kwa kile ninachoamini, sijawahi kuamini kama kutengenezewa tofauti yeyote inaweza kuniongezea kitu chochote, kwenye  Game yangu huwa nachukulia kawaida tu kwa sababu mimi hainiathiri chochote na sikuja kwenye game kushindana na mtu yeyote" amesema Joh Makini.

Aidha akizungumzia kuhusu uwepo wa mitandao ya kijamii ambayo inachukua nafasi kubwa sana kwenye maisha ya watu sasa hivi Joh Makini, amesema anachukulia hivo kama ni mabadaliko ya kidunia ambayo huwezi kuyazuia.
Akiongelea madhara ya mitandao ya kijamii kama kudhalilishana, kushambuliwa na kutukanwa Joh Makini amesema.

" Watu kushambuliwa na kutukanwa hiyo ipo tangu dunia ilipoanza hata Yesu alishambuliwa alitukanwan hadi wakamsulubisha kwenye msalaba na sio kitu kigeni kwenye dunia"

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala