Alhamisi , 3rd Mar , 2022

Unaambiwa mapenzi hayajaribiwi kabisa, mtoto Julia Fox kama alinogewa na penzi la Kanye West 'Ye' baada ya kusema kudate na staa huyo wa muziki lilikuwa ni jambo bora kuwahi kutokea kwake.

Picha ya Kanye West na Julia Fox

Kwa mujibu wa Page Six Julia Fox anasema "Ilikuwa kitu bora ambacho hakijawahi kutokea kwangu, ilirudisha cheche katika maisha yangu ambayo nilikuwa nimeisahau".

Wawili hao kwa sasa hawapo tena kwenye mahusiano baada ya kuachana mwanzoni mwa mwezi wa pili 2022.