Jumatatu , 22nd Jun , 2015

Star wa muziki Kala Jeremiah, baada ya kuweka wazi changamoto mbalimbali ambazo zinawafanya wasanii wasiweze kufaidika na majina yao ikiwepo kukosa menejimenti na sapoti ndogo ya wasanii, ameeleza kuwa anajivunia kwa nafasi binafsi alipofikia.

Kala Jeremiah

Kala ambaye hivi sasa ameingiza katika mzunguko video mpya rekodi ya Nchi ya Ahadi aliyoifanya na ROMA mkatoliki, bila kuweka wazi faida alizopata hasa na kwa mazingira yaliyopo sasa, anajivunia mashavu na vilevile mafanikio kupitia jina lake akiwa bado hajaridhika na pia akiwa na matarajio zaidi.

Unaweza kumsikiliza Kala akuongelea hili hapa;