Jumanne , 21st Jun , 2022

Msanii Menina Alegria amesema hata tozo za wigi zikiongezeka ataendelea kununua na kuvaa bidhaa hizo kwa sababu inaongeza mapato kwenye nchi.

Picha ya msanii Menina Alegria

Menina Alegira ameongeza kusema mwisho wa kununua wigi ni Tsh Milioni moja zaidi ya hapo hawezi kununua tena.

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo.