Jumatano , 3rd Nov , 2021

Msanii Kusah ameweka wazi kwamba tayari ameshafunga ndoa na Aunty Ezekiel ambaye wana mtoto mmoja tangu kuanza kwa mahusiano yao.

Picha ya Aunty Ezekiel na Kusah

Kusah anasema Aunty Ezekiel ana utofauti mkubwa na wanawake wengine aliowahi kuwa nao kwenye mahusiano kama kumuheshimu, kumpenda na kujitoa kwa ajili yake.

Zaidi fuatilia hapa akizungumzia ndoa yake na Aunty Ezekiel.