Jumatatu , 11th Apr , 2022

Meneja wa msanii Ruby Andrea Wayayu amesema maisha binafsi ya Ruby na changamoto za kibinaadam ndio zimetokea mpaka kuandika anatamani kufa ili apumzikie na dunia.

Picha ya msanii Ruby

Meneja wake ameongeza kusema kuna muda mtu unapitia magumu, kushikilia mambo mengi moyoni na kukosa nafasi ya kuongea na mtu au watu na kuhisi duniani sio sehemu sahihi ya kuishi.

Zaidi msikilize hapa akizungumzia zaidi tukio hilo.